languageIcon
search
search

NYIRADI ZA MCHANA NA USIKU

SleepAdhkar
NYIRADI ZA KULALA

KUANZIA SIKU KIIMANI NA KINGA INAKUHIFADHI ASUBUHI NA JIONI KWA NYIRADI CHACHE ZINAKUWA NI SABABU YA KUHIFADHIKA WEWE KWA MCHANA WAKO , USIWE BAKHILI WA KUJINYIMA NAFSI YAKO NYIRADI ZA ASUBUHII KWANI ZINAHIFADHI MUISLAMU ZA ZINAMPA UTULIVU, UTAZIPATA HIZO NYIRADI BAADA YA SWALA KIUKAMILIFU.

ONYESHA
AfteroonAdhkar
NYIRADI ZA JIONI

KUANZA SIKU KIIMANI NA KINGA. INAKUHIFADHI ASUBUHI NA JIONI KWA NYIRADI CHACHE ZINAKUWA NI SABABU YA KUHIFADHIKA WEWE KWA USIKU WAKO, USIWE BAKHILI WA KUJINYIMA NAFSI YAKO NYIRADI ZA JIONI KWANI ZINAHIFADHI MUISLAMU NA ZINAMPA UTULIVU, UTAZIPATA HIZO NYIRADI.

ONYESHA
morningAthkar
NYIRADI ZA ASUBUHI

KUANZIA SIKU KIIMANI NA KINGA INAKUHIFADHI ASUBUHI NA JIONI KWA NYIRADI CHACHE ZINAKUWA NI SABABU YA KUHIFADHIKA WEWE KWA MCHANA WAKO , USIWE BAKHILI WA KUNYIMA NAFSI YAKO NYIRADI ZA ASUBUHII KWANI ZINAHIFADHI MUISLAMU ZA ZINAMPA UTULIVU, UTAZIPATA HIZO NYIRADI

ONYESHA
talqeenRight
التلقين

TALKEEN (UFAFANUZI: NI SAUTI AMBAYO HUSOMWA KWA KUKARIRI HADI MUSIKILIZAJI AHIFADHI, TWAWEZA SEMA ; KUSIKILZA)


TALKEEN P1; (NI HUDUMA TUNAYOKUPATIA IKUSAIDIE KUTAMKA SURA FUPI NA NYIRADI KISAWASAWA KWA NJIA NZURI.

. TALKEEN P2: UWEZEKANO WAKURUDIA KWA KUENDELEA ILI UHAKIKISHE HIFDHI NA MATAMSHI YA SAWA.

. TALKEEN P3: TUNAKUWEKEA FAILI ZA SAUTI ZA WASOMI WAZURI MNO.

ANZA KUJIFUNZA